Upande wa pili wa Mbosso usiofahamu

Pumba tupu.
 
Kikubwa muziki wake ni mzuri Sisi wadau tunaburudika hayo mengine mtajuana wenyewe, maana iwe kweli au uongo Sisi hatudhuriki na upande wowote
Acha wivu.
 
Kwani imekuwaje Tena WCB si unazungumzia label nzima kwa mazuri
 
Inadaiwa.....
Inadaiwa......
Inadaiwa......

Mkuu uko serious na huu umbeya wako!?
 
upande wa pili umejaa naskia, naskia

nilitegemea kuona unafiki wa mbosso ila naishia kuona unafiki kwa mtoa mada

upande wa pili huujui ni wa kuambiwa kijiwen
 
Mboso is overrated, hii kitu inampa kichwa sana


Ni msanii wa kawaida sana kwenye mtazamo wangu
Kabisa..sijui ni kigezo gan wanatumia kumsifia kuwa anajua..nyimbo nyingi ni kulalamika na kuima majina ya watu
 
Mboso kawaripa watu huku ili wamtete azidi kuonekana msafi, binafsi mimi mwenyewe namkubali Dogo baadhi ya truck zake ninazo kwenye Simu yangu
 
Naomba ufafanuzi wa neno "mwekezaji" kama ulivyolitumia kwenye uzi wako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…