Upande wa pili wa Mbosso usiofahamu

Maromboso ubaya wake umeanza kuonekana baada ya kutoka wcb? Kumbukumbu zinaonyesha hakuna mtu aliyetoka wcb na Sinza pazuri asilete Uzi wa kubeza, kutweza, kebehi na roho ya inda
 
Nilipo on tu hii title Nikajua kuna kurumbembe litaleta negativity becquse Tanzanians are saddists and the hate every success and successful people
 

Una hela ya kula week hii?
 
Mbossi Sijui ndio Mbosso
,Diamond ety almasi 💎
Hao Hawakujui
Narudia tena Hakujui
Hakujuiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
Unajaza Taarifa nyingi zao
Unazidi kumpa umaarufu
 
Kmmk 😁🙌
 
Kwa sisi old school tulikuwa nae wa kariba hii inspector halun babuuu akianza kukutajia tajia mavyakula hapo lazima njaa ikupate 😂😂😂
😁😁😁 Corona laini laini na mavyapati vyapati aghh eti ninge mpata wapi ??
 
Asa mkuu mpaka wewe ukachimbe yote hayo unakua unashida gan ikiwa unachotakiwa kupata kwake ni muziki tu?

Nashindwa kuelewa unapata faida gani kumuongelea mtu vibaya tena alokuzidi mafanikio
 
Wenye akili timamu tushajua lengo la kuanzisha Uzi huu ila fresh kazi iendelee kijana Yuko sawa
 
Unafiki sio jambo baya kifalsafa MTU mnafiki ni MTU amekataa kurithi maadui wa MTU .

Mbosso is very talented smart and visionary hajafika hapo kwa bahati mbaya.

Watanzania acheni wivu wa kijinga
Tafsiri ya unafki imebadirishwa lini mkuu
 
Mboso kawaripa watu huku ili wamtete azidi kuonekana msafi, binafsi mimi mwenyewe namkubali Dogo baadhi ya truck zake ninazo kwenye Simu yangu
Vipo analipa bei gani mbona mimi nmemtetea na sijalipwa au mhasibu hujaniona?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…