Yaa huwa tunatamaduni kualikana ila siyo mpaka sasa unakodi na kanzu kabisa 🤣ya kwenda kulia ubwabwa ila wengi wanasema pilau la waislamu huwaga tamu sana na mara nyingi sikuku ya kama eid nyumba nyingi huwaga wanapikaga chakula kingi sana na kisha kugawa baadhi kwa majiraniutakuwa na asili ya uchoyo na wala sio mwislamu bali umezaliwa na wazazi waislamu.
Waislamu na wakiristo wamekuwa wakishirikiana kipindi kirefu sana na hakuna anayefosi mwaliko.
Eid wanaosherekea ni wachache supply ndogo, demand ya mialiko inakuwa juu.Nahope we good iv kwann ndugu zangu wakristo mnakuwa mnafosi sana mialiko ya sikuku ya eid simu nyingi kuliko wasilaumu kusumbua kwenye sikuku za Christmas au pasaka yan iv simu kama zote zinataka mwaliko wa Eid ila wote ni christian
huwezi lisikia nyakati hii, ni kama wanasiasa kwenye kampeni🤣🤣 Kwaiyo neno kobazi halitosikika kwenye eid
Uchoyo!
Sina uchoyo kwako... Sema nini au basi...Uchoyo!
BasiSina uchoyo kwako... Sema nini au basi...
Tuonane Pasaka na Karume day, long weekend...Basi
Ofcoz OfcozTuonane Pasaka na Karume day, long weekend...