Nimesikia kuwa suruhisho kuu kwa upungufu wa nguvu za kiume ni hii huduma ya kuwekewa visaidizi ktk uume. Kuliko kunywa madawa na kubugia vumbi kila siku.
Na wanasema pia asilimia za kulizika kati ya mke na mme ni 90-98% lkn pia kifaa hocho kina kaa miaka kati ya 10-15.
Lkn pia unaweza kufanya sex muda wowote unaotaka na unaweza kumwaga ukaendele kwa sababu uume unauamlia wew sasa usimame sasa ulale.
Na pia wanasema zipo aina tatu za visaidizi hivi.
One piece
Two pieces
Three pieces
Kwa tanzania nasikia kuna hiyo ya one piece na gharama zake ni 7,000,000 kwa tanzania.
Maswali ysngu ni haya:
1. Kwanini gharama ni kubwa hivi?
2. Uhakika wa mafanikio ukoje?
3. Waliofanyiwa upandikizaji huwa au marafiki zao wanasemaje juu ya ufanisi na urahisi?
4. Kwa bei hiyo watanzania maskini watapata hiyo huduma kweli??
Nb naamini humu kuna madaktari wa hospital husika au wanauzoefu huo watatupa mrejesho vizuri maana tatizo limekuwa kubwa naamini tunakoelekea sasa ni watu kutumia vipandikizi ambavyo unasex kwa muda unaoutaka wewe.
Ukiona Huna cha kuchangia vema ukasoma tu ukapita
Naomba kuwasilisha.