House4Sale Upanga: 9th and 10th Floors 2 Bdrm Apartments For Sale - Dar

Kasri Homes Tz

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2016
Posts
501
Reaction score
694
• Direction: Mindu
• Facilities: (2 bedrooms, 2 washrooms) x 2
• Floor Area: 81 sqm
• Document: Sub Title
• Price: Each USD 75,000 (payment in TSH accepted)
• Viewing charge: TSH 30,000
.
✓ zipo apartment 2. Moja ghorofa ya 9 na nyingine ya 10
✓ zote zinajitosheleza. Kila moja chumba master 1 na kawaida 1
✓ lift, generator na parking vipo
✓ ukichukua kwa biashara ya kupangisha, kodi kwa mwezi ni $ 650-1,000
✓ ukitaka 1 au zote 2 utauziwa… Karibu
.
#InRealEstateWeConnect
☎💬 +255767157788
Mitandao ya Kijamii: BongoLocate
 

Attachments

  • VID-20240830-WA0068.mp4
    12 MB
Kwa Nini Kuna viewing charges?
Kama utaweza njoo na usafiri wako, unichukue, nikupeleke ukaangalie kisha unirudishe wala sitakuomba viewing charge. Gharama zote zitakazojitokeza wakati wa visiting ni juu yako
 
Kuna charge yoyote ya mwezi baada ya kulipa hiyo $75,000 ?
 
Za hivi ndio natafuta kwa kweli
Uni tag ukipata za chini kidogo ya hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…