T Thomas Mbata New Member Joined Sep 10, 2013 Posts 4 Reaction score 2 Mar 16, 2015 #1 Samahani wadau, tafadhali naomba kuelekezwa namna GPA kidato cha sita inavyopatikana!
nsimba JF-Expert Member Joined Oct 7, 2010 Posts 782 Reaction score 55 Mar 17, 2015 #2 Thomas Mbata said: Samahani wadau,tafadhali naomba kuelekezwa namna GPA kidato cha sita inavyopatikana! Click to expand... Utaratibu ni kama ilivyo CSEE. uzito wa A= 5, B+=4, B=3, C=2, D=1 E=0.5 na F=0. GPA= Jumla ya Pointi za masomo 3 ya tahasusi (combinational subjects) gawanya kwa 3.
Thomas Mbata said: Samahani wadau,tafadhali naomba kuelekezwa namna GPA kidato cha sita inavyopatikana! Click to expand... Utaratibu ni kama ilivyo CSEE. uzito wa A= 5, B+=4, B=3, C=2, D=1 E=0.5 na F=0. GPA= Jumla ya Pointi za masomo 3 ya tahasusi (combinational subjects) gawanya kwa 3.
Mp nyanso Member Joined Nov 8, 2014 Posts 95 Reaction score 8 Mar 17, 2015 #3 ebhana vp kuhusu somo la GS
mkubwa 21 JF-Expert Member Joined Nov 12, 2014 Posts 442 Reaction score 118 Mar 17, 2015 #5 Mp nyanso said: ebhana vp kuhusu somo la GS Click to expand... wanaangalia masomo matatu tu ya tahasusi katika mtihan wa kidato cha sita.
Mp nyanso said: ebhana vp kuhusu somo la GS Click to expand... wanaangalia masomo matatu tu ya tahasusi katika mtihan wa kidato cha sita.
KATUNZI THE YOUNG Member Joined Jan 2, 2015 Posts 37 Reaction score 3 Mar 18, 2015 #6 GS ni0.5 kwenye admision