Na uhakika Pogba akiendelea kupangwa kama anavyopangwa Man u itaendelea kupoteza na pia Pogba ataonekana si chochote
Pogba anapaswa acheze No 8 huku akiachwa free kuzunguka uwanja kwa uhuru kama anavyofanya De Brune
Lakin anavyopangwa kucheza 6 hawez kuonekana maana kiasili yule sio kiungo mkabaji halisi
Pale anapaswa apewe no 6 anayejua kisha akae 8 na awe free kuzunguka
Makocha wengi huua vipaji kwa sababu ya kulazimisha kuchezesha watu nafasi zisizo zao
Tusubir kifo cha Pogba ama kufukuzwa kwa Mourinho kama hatamsogeza Pogba mbele kdg na nyuma yake amweke Carrick ama Schen