Upangaji wa kikosi utamgharimu Mourinho

Baba yenu

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2016
Posts
1,053
Reaction score
1,418
Na uhakika Pogba akiendelea kupangwa kama anavyopangwa Man u itaendelea kupoteza na pia Pogba ataonekana si chochote

Pogba anapaswa acheze No 8 huku akiachwa free kuzunguka uwanja kwa uhuru kama anavyofanya De Brune

Lakin anavyopangwa kucheza 6 hawez kuonekana maana kiasili yule sio kiungo mkabaji halisi
Pale anapaswa apewe no 6 anayejua kisha akae 8 na awe free kuzunguka

Makocha wengi huua vipaji kwa sababu ya kulazimisha kuchezesha watu nafasi zisizo zao

Tusubir kifo cha Pogba ama kufukuzwa kwa Mourinho kama hatamsogeza Pogba mbele kdg na nyuma yake amweke Carrick ama Schen
 
sawa kocha!
 
Kwan felain anacheza namba ngapi na pogba anacheza namba ngapi
 
Pilipili hoho watu wanakulaga tu maana hamna namna si haliwashi # Pogba n Co.
 
Felain anapangwa 8 na Pogba 6 but kiuhalisia Pogba ni 8 na 6 ni Carrick/Schn
Sijui ila Mimi ninavyoona ni kuwa felain anacheza mbele ya ukuta Wa Bailly na Smalling yaani ni holding midfielder .... Ila pogba anacheza nyuma ya rooney na IBRA ....

All in all game approach ndio inamuharibia mourinho
 
WATFORD3-1MAN FONGO pilipili hoho limechanganywa na nyanya limezudi kuwa tamu badala ya kuwasha
 
Washabiki WA Arsenal,Chelsea,Liver na Man City wanasema kufungwa kwa Man U kunachangiwa na yule jamaa aliewachafua watu WA Mbeya kwa kumshukuru mkuu kuwa ndio kasababisha jua lipatwe Mbeya sasa laana yake imeikumba Man U maana jamaa alikuwa mnazi WA Pogba.
 
Sijui ila Mimi ninavyoona ni kuwa felain anacheza mbele ya ukuta Wa Bailly na Smalling yaani ni holding midfielder .... Ila pogba anacheza nyuma ya rooney na IBRA ....

All in all game approach ndio inamuharibia mourinho
Pogba ndo anachezeshwa mbele ya mabeki na hilo ni kosa na hata angepangwa felain hapo sio no yake wote wawili ni no 8! Ile ni nafasi ya carick au schnedlin wenu yule au mtafute no 6 original ili Pogba apewe nafasi ya kucheza kwa uhuru
 
Kichapo unlimited! Anyway timu na kocha wapewe muda
 
ww umejuaje; kama POGBA ndio anataka kucheza hiyo nafasi? kikubwa MANYURE hamna team work; maaana naona unadhanian Pogba ndio kila kitu;
 
[emoji33] [emoji33] [emoji33] [emoji33] [emoji27] [emoji27] [emoji27] [emoji36] [emoji36] [emoji36] [emoji40] [emoji40] [emoji40]
 
Tunaijenga team, hatuhitaji ubingwa msimu huu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…