Upangaji wa kikosi utamgharimu Mourinho

Moriunho inabidi apate mtu wa kumfanyia kazi chafu na anaweza hili kwa kumbadilisha mensah aje acheze katikati na mtu mwingine kama carick au schneiderlin,
Pili man wapo slow sana eapecially kwenye kufanya mashambulizi
 
Jambo la kusikitisha man fongo wamemchukua kocha asiyeshaurika asiyeambilika yaani ni dictator uchwara anayeitwa mourinho.

Na mtajuta kumfahamu

Nawapongeza Chelsea kwa kumtua huyo kidudu MTU maana aliiharibu sana timu
 
Nyie tangulieni tuu tutawakuta huko mbele, bado gari yetu ipo service.
 
Mourinhho ni bomu linalosubiri kulipuka. Mpira wa Man U na yeye ni mbingu na dunia. Walikuwa desparate wakamchukua. Siamini kuna timu ataenda afanikiwe kwa falsafa ya yake ya mpira. Dunia inabidlika yeye yupo na mipango yake isiyokuwa flexible hata kidogo.
 
Wameniaribia usiku wangu kwa kunichania mkeka
 
Ndio timu yenu na yule mnyakyusa wa mwakaleli alikuwepo mwalukaku?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…