mikiray Member Joined Sep 29, 2013 Posts 50 Reaction score 4 Dec 5, 2013 #21 Inapanga moevt lkn nmeenda jtatu bado hawajaanza kupanga ila wanatakiwa walimu wengi waende lindi,mtwara&katavi jiandae kwenda hko.
Inapanga moevt lkn nmeenda jtatu bado hawajaanza kupanga ila wanatakiwa walimu wengi waende lindi,mtwara&katavi jiandae kwenda hko.
irumba1 JF-Expert Member Joined May 10, 2013 Posts 882 Reaction score 321 Dec 5, 2013 #22 Mimi nipo wilaya ya Mbinga mkoa wa Ruvuma natafuta mwalimu wa kubadilishana nae kituo cha kazi kutoka mikoa ya Singida au Manyara idara ya sekondari, atakayepangiwa maeneo hayo na anataka tubadilishane ani-PM au kupitia irumba8@gmail.com
Mimi nipo wilaya ya Mbinga mkoa wa Ruvuma natafuta mwalimu wa kubadilishana nae kituo cha kazi kutoka mikoa ya Singida au Manyara idara ya sekondari, atakayepangiwa maeneo hayo na anataka tubadilishane ani-PM au kupitia irumba8@gmail.com
Realbest JF-Expert Member Joined Aug 5, 2013 Posts 812 Reaction score 300 Dec 5, 2013 Thread starter #23 mikiray said: Inapanga moevt lkn nmeenda jtatu bado hawajaanza kupanga ila wanatakiwa walimu wengi waende lindi,mtwara&katavi jiandae kwenda hko. Click to expand... Mbona inasemekana walshapanga toka mwezi wa 8?
mikiray said: Inapanga moevt lkn nmeenda jtatu bado hawajaanza kupanga ila wanatakiwa walimu wengi waende lindi,mtwara&katavi jiandae kwenda hko. Click to expand... Mbona inasemekana walshapanga toka mwezi wa 8?