Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 20,561
- 24,428
"Timu yangu ina uchovu, tumecheza mech sita ndani va Siku ishirini"
"Kila kitu leo kilikwenda vibaya, tumepata jeraha dakika ya nane, Musonda amepoteza nafasi ya wazi, tumepoteza penati wao wamefunga, wame shambulia mara mbili wakafunga,sisi tumeshambulia ×20 hatukufunga, siwezi kupeleka lawama kwa wachezaji wangu lawama zote nabeba mimi”
Miguel Gamond - Kocha mkuu wa Yanga SC baada ya mchezo.