kimsboy
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 9,846
- 20,319
Kiukweli, upanuzi wa barabara ya Mwenge haukua na maana yoyote ile foleni iko palepale.
Nashindwa kuelewa hii nchi yetu inaongozwa na watu wenye utimamu wa maamuzi.
Pale Mwenge kungejengwa roundabout labda ingesaidia kupunguza foleni lakini yale mataa ni bure kabisa
Gharama zilizotumika pale ni upotevu tu wa fedha.