Mara ya kwanza ilipanuliwa kwa fedha ya Sherehe za Uhuru (kama ni kweli) then ikaja ikapanuliwa kwa fedha za wafadhili.....ila CCM kama mtafika mbinguni Wallah naandamanaKiukweli, upanuzi wa barabara ya Mwenge haukua na maana yoyote ile foleni iko palepale.
Nashindwa kuelewa hii nchi yetu inaongozwa na watu wenye utimamu wa maamuzi.
Pale Mwenge kungejengwa roundabout labda ingesaidia kupunguza foleni lakini yale mataa ni bure kabisa
Gharama zilizotumika pale ni upotevu tu wa fedha.
Faida yake tutaiona pale ambapo Junction zote kubwa watajenga flyoversKiukweli, upanuzi wa barabara ya Mwenge haukua na maana yoyote ile foleni iko palepale.
Nashindwa kuelewa hii nchi yetu inaongozwa na watu wenye utimamu wa maamuzi.
Pale Mwenge kungejengwa roundabout labda ingesaidia kupunguza foleni lakini yale mataa ni bure kabisa
Gharama zilizotumika pale ni upotevu tu wa fedha.
Sasa hoja yako ni juu ya upana wa barabara au mataaKiukweli, upanuzi wa barabara ya Mwenge haukua na maana yoyote ile foleni iko palepale.