Upanuzi wa JKNIA

Exterior View

This roof's design is inspired by sailing boats (ngalawa) na sio warehouse! It replaces the former tanzanite roof design previousely poroposed by the Chinese developers.
 
Exterior View

This roof's design is inspired by sailing boats (ngalawa) na sio warehouse! It replaces the former tanzanite roof design previousely poroposed by the Chinese developers.
Ule uzio uliozungushiwa mabati naona mabati yanazidi kuondoka siku hadi siku... zimebakia milingoti ya chuma tu... uwanja upo mweupe hapo sasa madawa yatashindwa kupitishwa?
 
kampuni hiyo iliyojenga uwanja wa schipol (amsterdam) ninaiamini. ila kwa mchoro, naona ule mchoro wa wachina ulikuwa bora zaidi kuliko huu hapa.
 
Mbona michoro Yake ni mibaya namna hii? Is this the best Tanzania can do?
 
Uwanja wa Mapicha..... siku zinaenda Siasa raha sana...
 
wachina walikuwa na masharti magumu kidogo kutoka vyanzo vyangu ila sasa kuna mchakato unaendelea kikubwa project ipo palepale....!
 
Bongo mambo yanavyoendeshwa bila priorities inachekesha wakati mwingine.
Hela ya kui-bail out Precision Air ipo lakini ya kuupanua huu uwanja ambao hauna hata hadhi ya kuwa wa kimataifa haitoki
 
Uwanja Umeanza kujengwa... Right now inafanywa geotechnical analysis. Waliopanda ndege karibu watakuwa wanawaona watu wanafanya kazi pale
 
DAR ES SALAAM | Julius Nyerere International Airport Terminal III | U/C - Page 7 - SkyscraperCity

I think its U/C now hatua za mwanzo 🙂

Ramani ya kwanza ya Mchina ilikuwa kali sana hapo tumepigwa changa la macho hamna kitu
 
kampuni hiyo iliyojenga uwanja wa schipol (amsterdam) ninaiamini. ila kwa mchoro, naona ule mchoro wa wachina ulikuwa bora zaidi kuliko huu hapa.

Huu mchoro ni mbaya mno, litakuwa kama godown, ule mchoro wa wachina unapendeza na ni mzuri. Hawa waholanzi wanaleta mchoro wa godown lililolembwa! Wahusika toeni takataka hii katika karne ya Sayansi na Technolojia.
 
Ramani ya kwanza ya Mchina ilikuwa kali sana hapo tumepigwa changa la macho hamna kitu

Naunga mkono hoja! Ramani ya Mchina ilikuwa bomba na inaendana na Utajiri wa nchi, lakini hii ya sasa ni MBAYA na HAIFAI kwa karne ya sasa. Ma-architect wetu wamepitisha je mchoro mbaya hivi? Hovyo kabisa.
 
Huu mchoro ni mbaya mno, litakuwa kama godown, ule mchoro wa wachina unapendeza na ni mzuri. Hawa waholanzi wanaleta mchoro wa godown lililolembwa! Wahusika toeni takataka hii katika karne ya Sayansi na Technolojia.
angalia hii kitu wenzetu wakenya wanajenga,jomo kenyata
 
Attachments

  • 7AfBnzv.jpg
    61.5 KB · Views: 339
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…