Upara wa Kung'aa

Orketeemi

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2013
Posts
5,063
Reaction score
12,866
Wakuu napenda sana kunyoa upara na ninapenda kuwa na upara unaong'aa sana.

Huwa nanyoa upara lakini hauwi ule wa kung'aa. je kuna mafuta ya kufanya upara ung'ae au kuna mashine maalum za kunyolea?

tupeane mbinu .
 
wale wenye upara unaong'aa ni wale wenye upara nywele hakuna so wananyoa zilizobaki sasa eneo ambalo halina nywele hung'aa sanaa
 
nadhani kung"aa kunatokana na mtu kiasili yeye kutokuwa na nywele so ina maana hakwangui kichwa na mashine wakati wa kunyoa kama wew mwenye nywele. kiufupi mashine za kunyolea ndio zinafanya upara wako using`ae
 
tafuta pesa utang'aa bila kutumia nguvu paka mafuta ya Airbus
 
Hahaha ama kweli vituko haviishi duniani!!wengine tunakuza Afro chalii anataka upara unaong"aa!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…