Upasuaji wa kuongeza maumbile (Penis enlargement surgery)

Ifike mahali wanaume wajiamini kuwa vyovyote walivyoumbwa wako perfect.

Wengine wanakazana na ku massage kwa mitishamba kwa sababu kuna kiumbe kamwambia yeye ni kibamia. Akipata madhara huyo mwanamke atakuwa wa kwanza kumcheka.

Nimeipenda point yako kuwa hakuna sababu ya kukosoa uumbaji wa Mungu. Kila mmoja alivyoumbwa ndivyo ilimpasa awe hivyo. Turidhike.
Sawa
 
Kweli kabisa usemalo mwaya.

Ahsante sana mwaya. Na pia wasisahau siku zote majuto ni Mjukuu.
 
Back
Top Bottom