bukoba boy
JF-Expert Member
- Jan 15, 2015
- 5,370
- 3,962
Pamoja na kuwa katika maendeleo ya sayansi mengi yaliyokuwa yanaonekana hayawezekani yamewezeka lakini kwa upasuaji huu na mashaka sana kama utafanikiwa!
si wajaribu kwanza kwa wanyama? sijasikia hiyo kitu wakifanya hata kwa kuku
Kwa akili ya fasta nisiye daktari naona kuna kichinjwa kwanza (kwa namna yoyote ile) ndipo wakufanyie hiyo transplant!! Bora nife. Unapoteza identity kabisa
niliwahi kufuatilia hii habari wanadai walifanya kwa panya ... lakini waliishi kwa dakika kadhaa! sikumbuki muda gani lakini hawakufikisha lisaa... ila walifanikiwa kiasi....
nilisoma kitambo unaweza fatilia online ...
ukienda youtube kuna hadi videos za huyu jamaa aliyejitolea ...
Identity haipotei,unabaki na kchwa chako.
kwa hiyo nikiwekewa kichwa cha Messi naenda Barca kusakata kabumbu au nikiwekewa cha Nkurunzinza nag'ang'ania Bujumbula daadaadeki!!!
​Kichwa changu wala hakiwezi kugombaniwa maana kinanitosha mwenyewe