Upasuaji wa macho

Ms mol

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2017
Posts
1,960
Reaction score
2,345
Habari jf doctors.
Nimekuja kwenu kuomba msaada, kuna jamaa Yangu amepata ajali na tetesi zinasema amepasuka macho yote mawili.

Ninaombwa kujuzwa yafuatayo.
1. Macho yaliyopasuka yanaweza kuona tena baada ya matibabu labda operations au??

2 je IPO teknolojia ya kuhanisho jicho kwa MTU mzma na kumpa mgonjwa?
Kama IPO inapatikana Tanzania?

Asanteni, Mungu awabariki.
 
Doctor kujeni huku jamani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…