Solita
Member
- Nov 29, 2010
- 47
- 4
Nimekuwa na tatizo la macho kwa muda mrefu mwaka 2002 nilifanyiwa upasuaji wa jicho kutokana na ugonjwa wa mtoto wa jicho lakini kwa sasa naona tatzo limerudi tena kwa maana ya mtoto wa jicho kurudi tena katika jicho lile lile je inawezekana nikafanyiwa tena na jicho langu likabaki salama? na nini kinasababisha hali hii yaani ugonjwa wa mtoto wa jicho.