Upasuaji wa macho

Solita

Member
Joined
Nov 29, 2010
Posts
47
Reaction score
4
Nimekuwa na tatizo la macho kwa muda mrefu mwaka 2002 nilifanyiwa upasuaji wa jicho kutokana na ugonjwa wa mtoto wa jicho lakini kwa sasa naona tatzo limerudi tena kwa maana ya mtoto wa jicho kurudi tena katika jicho lile lile je inawezekana nikafanyiwa tena na jicho langu likabaki salama? na nini kinasababisha hali hii yaani ugonjwa wa mtoto wa jicho.
 
Pole Sana Bibie.@Solita Jaribu kutafuta asali Safi Mbichi ya Nyuki ,ujipake hiyo Asali kama unavyopaka Wanja Machoni na uwe unajipaka Asubuhi unapoamka na Wakati wa usiku kabla ya kulala hiyo Asali na kunywa kijiko kimoja Asubuhi na kabla ya kulala hiyo Asali fanya hivyo kwa muda wa Mwezi mmoja kisha njoo hapa unipe feedback.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…