Kumwaga mke au family inategemea na safari..kuna zile za siku mbili na kuna zile za miezi.au mwaka etc.. Kwa wale wenzangu wanaozunguka kutafuta maisha na kuacha familia zao kwa muda mrefu wana elewa uchungu wa kuwa mbali.. Sometime, It pains a lot to make a call home..Unaongea vizuri na mpenzi au watoto wako..wakikata simu unalia sana...unajisikia kama hujaitendea haki familia yako kwa kuiacha peke yake kwa muda mrefu..lakini at the same time you have to fight for them. Anyway, wakati wa kuagana hakuna formula...unaweza .kutabasamu mdomoni lakini moyoni kumejaa majonzi ..kama mwanaume unajikaza kisabuni..Mimi binafsi kuagana ni sehemu pekee ambayo siipendi ..na nimetafuta njia nyingi kuikwepa..kwani moyo huwa unaumia kupita kiasi..