Upatikanaji maji DSM Asilimia 100

Upatikanaji maji DSM Asilimia 100

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
42,872
Reaction score
34,363
97C1A4DA-CBBA-4E91-A924-44AA52EF5D31.jpeg

Ofisa Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dares Salaam (DAWASA), Cyprian Luhemeja ametangaza upatikanaji wa maji katika Jiji la Dar es Salaam kurejea kwa asilimia 100.

“Kwa sasa hali ya maji ni nzuri na huduma ya maji imerudi kawaida na safari hi tumerudi kwa kishindo kwani tumeongeza mtaji wa maji lita milioni 70 kutoka kwenye visima vya Kigamboni,” Mhandisi Luhemeja.

Chanzo. Millard Ayo
 
Hivyo vyanzo vya maji vya visima, ni vyanzo bora kweli vya kujivunia?
 
Miaka 50+ ya uhuru serikali bado inahangaika na maji.
Kuna mlevi mmoja alisema tupo kwenye uchumi wa kati. Sijui ni kweli
 
Mwehu tu huyo Mbezi Makabe tuna miezi mitano (5) toa huu mmoja wa mgao waliotangaza maji hayatoki.

Hawa umbwa wanavizia tarehe za kusoma mita wanafungua maji masaa manne tena usiku wa manane kesho yake unawakuta wanasoma metre unatumiwa bill hujui hata ni lini uliyatumia hayo maji.
 
Back
Top Bottom