Upatikanaji wa ajira upoje ngazi ya diploma?

Next Elon Musk

Senior Member
Joined
Dec 2, 2019
Posts
115
Reaction score
87
Guys neona nilete hii topic mezani kwa ambae anajua au experience, ukiachana na degree na masters chini kuna diploma na certificate but lets highlight kwa diploma hasa hali ikoje let's say upande wa tech (IT).
 
Kwa kiufupi kote hali ni mbaya kwa sasa.
Kitakachokuokoa ni utundu wako binafsi na kujiongeza.
 
Kwa mm bora nikapiga Dipl. Alaf nikajichanganya kitaa na kupambania ajira, kuliko 2yrs form 5&6 na 3yrs ya degree =5yrs ambayo hata ajira ni ysmkin ila kitaa kazi ni moja tu ya IT degrees ni wengi mno kitaa hata kuliko dipl.
 
Guys neona nilete hii topic mezani kwa ambae anajua au experience, ukiachana na degree na masters chini kuna diploma na certificate but lets highlight kwa diploma hasa hali ikoje let's say upande wa tech (IT).
Kazi ni bahati itoshe kusema hivyo
 
Sure kazi ni bahati. Ila ushauri kama kama kuna pesa kaongeze ajira nyingi ni degree
 
Back
Top Bottom