CHASHA FARMING
JF-Expert Member
- Jun 4, 2011
- 7,872
- 9,263
Wakuu napenda kujua ni wapi naweza pata hii barley naihitaji sana na ya kutosha, ingawa najaribu kucheki Karatu, Hanang na West kilimanjaro ambapo inalimwa. mwenye info pls
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shayiri, hutumika kutengenezea kilevi, kama unataka ya mifugo popote kwenye kiwanda cha bia unaweza ukaipata kama waste, kwa fedha kidogo unaweza ukapata truck loads, depends with demand
Wakuu napenda kujua ni wapi naweza pata hii barley naihitaji sana na ya kutosha, ingawa najaribu kucheki Karatu, Hanang na West kilimanjaro ambapo inalimwa. mwenye info pls
Unataka kilo ngapi,
Bado kipindi cha kivuna ukitaka kwa Karatu mwezi August nenda maeneo ya Tarafa ya Mbulumbulu vijiji vya Rotia na Slahhamo pia Upper Kitete japo wanalima kwa mkataba na Tanzania Breweries kuna wakulima wadogowadogo wanaweza kukuuziagunia la kilo 100:kwa Tsh 70000/=