Upatikanaji wa hati upande wa serikali

tidier Ar

Member
Joined
Feb 14, 2020
Posts
32
Reaction score
14
Naomba nipatiwe mwongozo jinsi ya upatikanaji wa hati ya shamba na gharama zake mpaka mtu unapata hati kwa kiwanja cha heka moja.
 
Ili upate hati lazima kiwanja kipimwe. Tafuta wapimaji wa viwanja watakupa muongozo wote. Gharama za upimaji itategemea ukubwa wa eneo. Ni vyema kama una majirani mkaungana ili kupunguza gharama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…