Jinsi ya kupata kazi vodacom,nijuavyo mimi:unapelea cv kwa specialist recruitment mfano kwa hapa dar unapeleka CV yako pale EROLINK,baada ya kuipitia wao wanakupigia simu,then wanakupa intavyuu kulingana na voda,intavyuu ya kwanza ni mtihan ambao ni general knowledge,then wanakupa test ya kompyuta,kama utafuzu baada ya wiki wanakupigia simu kwa oral intavyuu,then wanapeleka majina vodacom kwa waliopita kula nako kuna training na intavyuu nyingine,ukuqualify wanakuajiri