Habar wana jamvi? Samahani naomba kujuzwa gharama ya kuku wa kienyeji mkoani Singida nahitaji wa kufuga anayekaribia kutaga ni shilling ngapi kwa kila kuku mmoja? Na nimaeneo gani/ kijiji gani wanapatikana kwa wingi kuku wa kienyeji pure? Na VP gharama za kusafirisha let say kuku 50 kutoka singida mpaka dar? Natanguliza shukrani!