Upatikanaji wa laini za uwakala Vodacom, tigo, airtel n.k

Jamani wana JF kama naweza kupata mlolongo mzima wa namna ya kupata laini hizi za uwakala, asanteni jumaa njema

Sent using Jamii Forums mobile app
Laini ni lazima uwe na Tin namber certificate, lesen ya bishara, na kitambulisho, vyote viwe na jina moja..... Pia uwe na elfu 10 kwa ajili ya wakili kusign mkataba....... Then unasubiri kama mwez au miezi 2.....

Ila wapo walizonazo wanaziuza kama aujakidhi hivyo vigezo apo juu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna mtu anasema ili upate hizo laini ni lazima uweke 1million kila laini, hii ina ukweli gani?

Back
Top Bottom