Upatikanaji wa Liquorice/Licorice root

Upatikanaji wa Liquorice/Licorice root

Kilanga komo

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2022
Posts
337
Reaction score
290
Habari wakuu... Wapi naweza pata Liquorice/Licorice root hapa Dar kwa ajili ya matibabu ya vidonda vya tumbo.

✓ Wholesale au retail.

✓ Bei ikoje kwa kilogram au kipimo Chochote.

Natanguliza shukrani 🙏🙏
 
Ooh, kwani lazima hiyo lico.... au hata ukipata dawa nyingine sawa? Kuna dawa imenisaidia back two years, inaweza kukusaidia pia.
 
Back
Top Bottom