K Kilanga komo JF-Expert Member Joined Aug 27, 2022 Posts 337 Reaction score 290 Aug 3, 2024 #1 Habari wakuu... Wapi naweza pata Liquorice/Licorice root hapa Dar kwa ajili ya matibabu ya vidonda vya tumbo. ✓ Wholesale au retail. ✓ Bei ikoje kwa kilogram au kipimo Chochote. Natanguliza shukrani 🙏🙏
Habari wakuu... Wapi naweza pata Liquorice/Licorice root hapa Dar kwa ajili ya matibabu ya vidonda vya tumbo. ✓ Wholesale au retail. ✓ Bei ikoje kwa kilogram au kipimo Chochote. Natanguliza shukrani 🙏🙏
mzalendo namba moja JF-Expert Member Joined Oct 26, 2018 Posts 537 Reaction score 837 Aug 3, 2024 #2 Ooh, kwani lazima hiyo lico.... au hata ukipata dawa nyingine sawa? Kuna dawa imenisaidia back two years, inaweza kukusaidia pia.
Ooh, kwani lazima hiyo lico.... au hata ukipata dawa nyingine sawa? Kuna dawa imenisaidia back two years, inaweza kukusaidia pia.
K Kilanga komo JF-Expert Member Joined Aug 27, 2022 Posts 337 Reaction score 290 Aug 3, 2024 Thread starter #3 Nitajie nitashukuru pia🙏🙏🙏 mzalendo namba moja said: Ooh, kwani lazima hiyo lico.... au hata ukipata dawa nyingine sawa? Kuna dawa imenisaidia back two years, inaweza kukusaidia pia. Click to expand...
Nitajie nitashukuru pia🙏🙏🙏 mzalendo namba moja said: Ooh, kwani lazima hiyo lico.... au hata ukipata dawa nyingine sawa? Kuna dawa imenisaidia back two years, inaweza kukusaidia pia. Click to expand...