Mbepo yamba
JF-Expert Member
- Aug 5, 2012
- 1,262
- 1,773
wadau naombeni msaada wa mahali ninakoweza kupata sodium nitrate n calcium cabonate. Hizini materials muhimu katika uzalishaji wa mkaa wabriquette. Nisaidieni jamani nijikwamue maana maisha yanakaba koo kupitiliza. Niko hapa dar. Pia mkinisaidia na bei zake kwa kilo au namna yoyote ya upimaji inayotumika utakuwa umeisaidia