Nikweli kabisa wale jamaa wanasaidia sana tena ukipitia hao unapata kitu cha maana sana maana wanafwata njia za kitaalamu zote za kumpima Mbuzi kabla hajaanza kusafirishwa. Wa south wanaitunza hiyo mbegu vyema kwahuyo wakati wakuuza wanajitahidi sana wauze Mbuzi mwenye ubora kabisa ili wasijiharibie soko lao. Kumbuka ukitaka kufuga Boer unapashwa kujiandaa kwanza kabla ya kumwagiza na kumleta hapo unapotaka kufugia...Mbogo Ranches nasikia wanasaidia wafugaji wadogo kuagiza mbuzi pure boer kutoka afrika kusini.
..labda watu wajiunge kikundi wafugaji watatu au watano wawatumie Mbogo Ranches kuagiza beberu mmoja mna-share.
www.instagram.com/mbogo_ranches
www.estates.co.tz
Cc wakaliwetu, Manchid
Video kama title yake inavyosema ni kuhusu upatikana wa mbuzi aina ya Boer hapa Tanzania na sio upatikanaji wa mbuzi South Afrika. Pale watu watakapotaka kujua process ya kuagiza mbuzi South Afrika watapewa hayo maelezo wakiyaomba. Si rahisi kukidhi mahitaji ya kila mtu kwenye video moka. Mwingine anataka kujua jinsi ya kuwapata hao Boer Kenya au Uganda, na mwingine kutoka Zambia.Presenter ktk video hatoi maelezo yenye msaada.
Alichotakiwa kueleza ni PROCESS ya kuagiza mbuzi wa Boer kwa wale wenye mahitaji nao.
Awape wananchi CONTACTS za wauzaji wa mbuzi hao South Africa au Namibia ili watu wajiongeze.
Na karibuni Mbogo sasa wataanza kuuza Boer ambao wamewazalisha wenyewe hapa Tanzania. Hii itasaidia sana wafugaji ambao hawana uwezo wa kwenda South Afrika kuleta hawa mbuzi. Na tayari wameshaanza kuuza mbuzi chotara wa kienyeji na Boer.Nikweli kabisa wale jamaa wanasaidia sana tena ukipitia hao unapata kitu cha maana sana maana wanafwata njia za kitaalamu zote za kumpima Mbuzi kabla hajaanza kusafirishwa. Wa south wanaitunza hiyo mbegu vyema kwahuyo wakati wakuuza wanajitahidi sana wauze Mbuzi mwenye ubora kabisa ili wasijiharibie soko lao. Kumbuka ukitaka kufuga Boer unapashwa kujiandaa kwanza kabla ya kumwagiza na kumleta hapo unapotaka kufugia.
Video kama title yake inavyosema ni kuhusu upatikana wa mbuzi aina ya Boer hapa Tanzania na sio upatikanaji wa mbuzi South Afrika. Pale watu watakapotaka kujua process ya kuagiza mbuzi South Afrika watapewa hayo maelezo wakiyaomba. Si rahisi kukidhi mahitaji ya kila mtu kwenye video moka. Mwingine anataka kujua jinsi ya kuwapata hao Boer Kenya au Uganda, na mwingine kutoka Zambia.
Jambo la kumshukuru Mungu kwa kuwa na hawa jamaa ktk huu ufugaji.Na karibuni Mbogo sasa wataanza kuuza Boer ambao wamewazalisha wenyewe hapa Tanzania. Hii itasaidia sana wafugaji ambao hawana uwezo wa kwenda South Afrika kuleta hawa mbuzi. Na tayari wameshaanza kuuza mbuzi chotara wa kienyeji na Boer.