Guru Master
JF-Expert Member
- Jan 14, 2017
- 226
- 594
Weka bei mkuuMzigo mpya unawasili leo.
(Dar es salaam ) Njoo machinga Complex Upande wa Kutoka Ilala uliza GIN INVESTMENT Ghorofa ya Tatu. Upate mifuko kwa bei ya Jumla.
Size zilizopo ni
Hash 15
Hash 22
Hash 25
Kwa mawasiliano zaidi piga simu namba 0784160222.
Utapewa bei yake na maelezo zaidi. Au fika ofisini kuanzia Jumatatu.
View attachment 1127948View attachment 1127949View attachment 1127950View attachment 1127951View attachment 1127952
weka bei hapa .... unless otherwise hutomwona MTU hapa .... Kwanini mpaka uingie gharama nyingine ya simu au kusafiri mpaka ofisini .... useless
Weka bei mkuu
weka bei hapa .... unless otherwise hutomwona MTU hapa .... Kwanini mpaka uingie gharama nyingine ya simu au kusafiri mpaka ofisini .... useless
Madogo mna stress na maishaJinga kabisa!!!kila Siku humu munaambiwa kuweka tangazo lililojitosheleza ikiwemo bei.Ingia alibaba uone mfano wake.Watanzania ujamaa umetulemaza sana