Upatikanaji wa mifuko ya kubebea bidhaa kwa bei ya jumla.

NALO LITAPITA

JF-Expert Member
Joined
Aug 25, 2011
Posts
333
Reaction score
90
Wakuu, hongereni na majukumu ya ujenzi wa familiya zenu na nchi kwa ujumla.

Mimi ni mjasiriamali mdogo, ninabiashara ndogo eneo la Mbagala. Niliamua kuweka na mifjko hii ya kubebea bidhaa, na ninawauzia watu wenye biashara ndogo ndogo wanaowauzia wateja wao vitu basi wanawauzia na mifuko.

Mifuko nachukulia sokoni Kariakoo, Nina kimtaji nikafikiri nipate supplies ambayo wanawauzia wenzetu wa Kariakoo sokoni niwe nachukua kwao moja kwa moja.Lakini changamoto iliyopo mle sokoni hakuna wa kunielekeza wanakochukua.

Naomba mwenye ufahamu anisaidie niwe nachhkua kwa supplies moja kwa moja walau nione kafaida.

Asanteni sana,sana.
 
Kariakoo Kuna mwamba mmoja nikitembelea dukani kwake akanipa abc za kutosha kuhusu hii biashara mcheck kwa namba yake 0621734231
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…