Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mama Joe umeongea maneno mazito!
Umenikumbusha kiwanda kimoja mwanza niliona mapanki sikuamini macho yangu.
Nikaijutia sinema ya darwin's nightmare.
Cc Nicas Mtei
Akufungue macho uibe wazo lake. mwenzangu usifanye kosa hilo (kula jiwe) Sitasahau siku niliyoenda kwa jamaa (ROYA - Lawyer) kuomba anisaidie namna ya kununua nyumba bila kutapeliwa (ilikuwa na hati na ya urithi, lakini bei poa), jamaa akaniuliza maswali kibao nami nikampa kila kitu, si akaongeza dau kidogo kachukua yeye we acha tu!. HIVYO USISEME KAMA ANAYO HIYO MIGUU akuambie bei BASI!, Hataki atambaeMiguu ya kuku ya nini? Tufumbue macho tunaweza kuagiza makontena kwa makonteka hata kutoka nje maana nje kule zaidi naona wanakula wings na mapaja nahisi miguu wanaitupa.
Kama uko Dar, njoo interchick au twiga feeds. Wafugaji wengine wanauza kuku mzima au wakichinja miguu ndo ujira wa wanyonyoaji.
nenda Ilala boma au shekilango. . .
Mama Joe umeongea maneno mazito!
Umenikumbusha kiwanda kimoja mwanza niliona mapanki sikuamini macho yangu.
Nikaijutia sinema ya darwin's nightmare.
Cc Nicas Mtei
Akufungue macho uibe wazo lake. mwenzangu usifanye kosa hilo (kula jiwe) Sitasahau siku niliyoenda kwa jamaa (ROYA - Lawyer) kuomba anisaidie namna ya kununua nyumba bila kutapeliwa (ilikuwa na hati na ya urithi, lakini bei poa), jamaa akaniuliza maswali kibao nami nikampa kila kitu, si akaongeza dau kidogo kachukua yeye we acha tu!. HIVYO USISEME KAMA ANAYO HIYO MIGUU akuambie bei BASI!, Hataki atambae
Kwa habari ya miguu ya kuku wa kienyeji ulizia kisutu sokoni.