Upatikanaji wa miwani kwa bima ya afya [emoji541] NHIF

Joined
Jan 20, 2018
Posts
23
Reaction score
25
Ningependa kujua kama mfuko wa bima ya afya NHIF unagharamia utengenezwaji wa miwani
 
Watu wako busy wanapokea ndege uku wanapiga mihayo , ngoja waje
 
NHIF ni kwa Yule mwenye BIMA sio tegemezi... ndiye ana weza pata miwani...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…