Prisoner of hope
JF-Expert Member
- Aug 9, 2017
- 2,440
- 2,572
Habarini ndugu zangu?. Samahanini kwa usumbufu....ninaomba mnisaidie kujua ni eneo gani (kitongoji/wilaya/mkoa) zinapopatikana ndizi za kuiva kwa wingi...na itapendeza zaidi kama nikasaidiwa kujua na bei zake kwa huko mashambani au masokoni.
Natanguliza shukrani zangu za dhati....
Napatikana katika jiji la Dar Es Salaam, nchini Tanzania.
Natanguliza shukrani zangu za dhati....
Napatikana katika jiji la Dar Es Salaam, nchini Tanzania.