Upatikanaji wa ndizi za kuiva

Prisoner of hope

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2017
Posts
2,440
Reaction score
2,572
Habarini ndugu zangu?. Samahanini kwa usumbufu....ninaomba mnisaidie kujua ni eneo gani (kitongoji/wilaya/mkoa) zinapopatikana ndizi za kuiva kwa wingi...na itapendeza zaidi kama nikasaidiwa kujua na bei zake kwa huko mashambani au masokoni.

Natanguliza shukrani zangu za dhati....

Napatikana katika jiji la Dar Es Salaam, nchini Tanzania.
 
Mkuu kama upo dar nenda soko la mabibo asubuhi sana pale hukosi kitu
 
Upo wapi ndugu?
 
Sawa Mkuu, tusamehane tu....nilipitiwa kidogo.

Nipo Dar Es Salaam.
Muanzisha thread ndo kaanzisha kipuuzi. Sasa mtu anaulizia ndizi mbivu afu hata hasemi yuko wapi. Kama yuko Sudan ya Kusini na mimi niko huku Torabora ntamsaidiaje kwa mfano?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…