Upatikanaji wa ndizi za kuiva

Nenda Mahenge Morogoro, wanandizi za kutosha kuanzia za kuiva different varieties na ile ya kukaanga wanaiita Mzuzu.
 
mkuu mimi nimezaliwa kwenye ndizi Moshi, lakini ndizi za kuiva classic zinapatikana morogoro, ndio ndizi tamu ajabu kuliko zote nilizowahi kula Tanzania. huko morogoro maeneo ya milimani matombo na sehemu zingine
Asante sana kwa mchango wako Mkuu...God bless you.

Nalifanyia kazi...
 
Njoo Morogoro kuna kijiji kinaitwa Mwanzo Mgumu kipo kama 12 km toka Mjini hapo ndo zapatikana za kutosha, Ama kam utapata muda ushuke mpaka kijiji kiitwacho Kiloka ni takribani 24 Km toka hapa Msamvu
 
Asante Mkuu, nimekupata vema kabisa.
Njoo Morogoro kuna kijiji kinaitwa Mwanzo Mgumu kipo kama 12 km toka Mjini hapo ndo zapatikana za kutosha, Ama kam utapata muda ushuke mpaka kijiji kiitwacho Kiloka ni takribani 24 Km toka hapa Msamvu
 
Tembelea wauza matunda soko la Buguruni watakuelekeza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…