Prisoner of hope
JF-Expert Member
- Aug 9, 2017
- 2,440
- 2,572
- Thread starter
-
- #41
Morogoro sehemu gani, Mkuu?.Njoo Morogoro kama unataka ndizi za kuiva za uhakika..
kwa sasa Rungwe ndio wazalishaji wa ndizi kwa wingi kuliko wilaya yoyote tz,njoo masoko ya tukuyu,kiwira,lugombo,itete ibililo n.k
Ndizi si zipo za jamii mbalimbali, sasa wewe unahitaji za jamii ipi?
Kuna Kisukari, Makunduu, Ng'ombe n.k.
Sawa Mkuu, tusamehane tu....nilipitiwa kidogo.
Nipo Dar Es Salaam.
Asante sana Mkuu...God bless youNjoo Morogoro huku Mkuyuni au Tangeni utapata ndizi mbivu na mbichi safi kwa bei nzuri.
Asante kwa mchango wako Mkuu, nimekupata vizuri kabisa....nalifanyia kazi.Wengine wananunua ndizi mbichi kwa cheap then wanavundika wenywe zikishaiva wanasafirisha huko mjini
Hyo ni kwa hapa moshi na mkoa unaolima ndizi nyingi uliipo karibu na dar ni moshi tu
Asante sana ndugu...nitawatembelea soon.Zipo Kiwira mkoani Mbeya wilaya ya Rungwe karibu