Samahani ninaomba kuuliza kama PayPal hairuhusu mtu wa Tanzania kutoa pesa katika account ya PayPal nitatumia njia ipi ili nijipatie kipato kama nahitaji kuwa blogger au kutumia njia nyingine ya kuniingizia kipato? naombeni mnisaidie kwa hili.
Sent from my TECNO-N2 using
JamiiForums mobile app