Kwa sasa unapatikana mkoa gani na unauza sh. Ngapi?Ndugu wana janvi naomba Kutumia nafasi hii Kufahamishwa ni kwa jinsi gani ninaweza kupata Soko la Uhakika la Pumba za Mahindi, Pia namna Bora ya kuendeleza biashara na kuongeza thamani ya nafaka ikiwemo Mahindi,Karanga,Pia Mchele. Kwa upande wa pumba za Mahindi Mpaka sasa nimekusanya junia (100)Miamoja
Unauzaje na uko wapiNdugu wana jamvi naomba Kutumia nafasi hii Kufahamishwa ni kwa jinsi gani ninaweza kupata Soko la Uhakika la Pumba za Mahindi, Pia namna Bora ya kuendeleza biashara na kuongeza thamani ya nafaka ikiwemo Mahindi, Karanga, pia Mchele.
Kwa upande wa pumba za Mahindi Mpaka sasa nimekusanya gunia (100) Mia moja
Hapo katoro s mnapaita kariakoo ya geita0713148453
Bado kimyaaa!Unauzaje na uko wapi
Unauzaje kwa guniaMwenye uhitaji wa pumba n nzur inachakula Cha kutosha npo moshi
Unauzaje kwa gunia
Elf 27Unauzaje kwa gunia
Pia kwanzia gunia 5 Bei inashuka elf 25 na unapata usafir bure ndan ya moshiUnauzaje kwa gunia
Tayar bossweka bei