Upatikanaji wa spare gari aina honda fit

Msarendo

JF-Expert Member
Joined
Jan 29, 2011
Posts
10,533
Reaction score
6,562
ningependa kujua kuhusu kupatikana kwa spares za gari aina ya Honda fit umekaaje bongo kwani nimetokea kuipenda nisije nikanunua ikawa majanga pale spare parts sake zitakapo hitajika. asante
 
zipo sana na nyingi mno kwa HONDA CR_V, FIT, CIVIC, HR_V na original toka japan na US pale msimbazi street gorofa la ABC
 
Back
Top Bottom