Upatikanaji Wa spare parts za Suzuki jimny

Kilahunja

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2011
Posts
1,500
Reaction score
343
heshima kwenu wadau

naomba kupata msaada Wa taarifa juu ya upatikanaji Wa spare parts za Suzuki Jimny. kama zinapatikana kirahisi au lah.

kuna jamaa nimemuuliza kasema nisinunue hiyo gari kwakuwa itanisumbua kwenye spea.

naomba ushauri wenu ili niweze kufanya maamuzi.

*asante*
 
Huyo mwenzako hapendi maendeleo yako. Jimny is a nice car. Na parts zipo
 
mi navionaga huku mtaani, inavyoonekana spea zipo na ndo mana watu wanavinunua, wap mshana jr
 
wadau vip sasa kuhusu upatikanaji wa spea? mana hiv vigari ni vizuri ata mm navipenda sana
 
Uliyeongelea pajero min tafadhali muombe radhi muuliza swali...hiyo sio gari ni ugonjwa wa moyo. Jimmy nakuunga mkono pajero mitsubishi hapana aisee.
hata Mimi niliambiwa pajero mini Ni ugonjwa Wa moyo

VIP upatikanaji wake Wa spea za Jimny?
 
..Suzuki Jimmy ipo juu na sababu zipo nyingi;
-cc ndogo karibia na bajaji "cc 1.3 & cc 0.66, utumia mafuta kidogo sana kwa safari ndefu' (economy)

-Ina uimara wa kuweza kuvumilia misukosuko, nk.

NB: zenye cc 0.660 ndizo zenye bei ya juu kuliko zenye cc 1300

-ina uwezo wa kupita kwenye barabara za kila aina!

Ni nyepesi sana, kuliko magari mengine!

Sema zia bei bila milioni 20 hujapata nzuri.

Kama unahitaji magari ya bajeti ya milioni 4 hadi milioni 6 wasiliana nami. (0713039875)
 
Na naskia zikishafika km 100000 zinakua sio gari tena.Ni kweli?
 
..Suzuki Jimmy ipo juu na sababu zipo nyingi;
-cc ndogo karibia na bajaji "cc 1.3 & cc 0.66, utumia mafuta kidogo sana kwa safari ndefu' (economy)

-Ina uimara wa kuweza kuvumilia misukosuko, nk.

NB: zenye cc 0.660 ndizo zenye bei ya juu kuliko zenye cc 1300

-ina uwezo wa kupita kwenye barabara za kila aina!

Ni nyepesi sana, kuliko magari mengine!

Sema zia bei bila milioni 20 hujapata nzuri.

Kama unahitaji magari ya bajeti ya milioni 4 hadi milioni 6 wasiliana nami. (0713039875)
Nataka kununua hii gari mkuu,Ina km 1150000 ni kwa mizunguko ya mjini tu.Bado kuna gari hapo kwa hizo km?
 
Back
Top Bottom