Mkuu umewaki kutumia hizi gari? Napenda kupata uzoefu wako kuhusu ulaji wa mafutaJimny is a best Jeep u can ever have. Katika magari madogo ya kutembelea, Jimny is the best followed by Pajero Mini.
These are Jeep and they were not made to be fuel efficient esp when they are old. How ever, they dont consume that much.Mkuu umewaki kutumia hizi gari? Napenda kupata uzoefu wako kuhusu ulaji wa mafuta
hata Mimi niliambiwa pajero mini Ni ugonjwa Wa moyoUliyeongelea pajero min tafadhali muombe radhi muuliza swali...hiyo sio gari ni ugonjwa wa moyo. Jimmy nakuunga mkono pajero mitsubishi hapana aisee.
This car is very good when it has low mileage. When it is old, thats where u get to know its true colors.Uliyeongelea pajero min tafadhali muombe radhi muuliza swali...hiyo sio gari ni ugonjwa wa moyo. Jimmy nakuunga mkono pajero mitsubishi hapana aisee.
Nataka kuagiza hii gari kupitia be foward boss lina km96000 halitanisumbua kweli?This car is very good when it has low mileage. When it is old, thats where u get to know its true colors.
Na naskia zikishafika km 100000 zinakua sio gari tena.Ni kweli?..Suzuki Jimmy ipo juu na sababu zipo nyingi;
-cc ndogo karibia na bajaji "cc 1.3 & cc 0.66, utumia mafuta kidogo sana kwa safari ndefu' (economy)
-Ina uimara wa kuweza kuvumilia misukosuko, nk.
NB: zenye cc 0.660 ndizo zenye bei ya juu kuliko zenye cc 1300
-ina uwezo wa kupita kwenye barabara za kila aina!
Ni nyepesi sana, kuliko magari mengine!
Sema zia bei bila milioni 20 hujapata nzuri.
Kama unahitaji magari ya bajeti ya milioni 4 hadi milioni 6 wasiliana nami. (0713039875)
Lina matatizo gani kaka cause nataka nunuaThis car is very good when it has low mileage. When it is old, thats where u get to know its true colors.
Nataka kununua hii gari mkuu,Ina km 1150000 ni kwa mizunguko ya mjini tu.Bado kuna gari hapo kwa hizo km?..Suzuki Jimmy ipo juu na sababu zipo nyingi;
-cc ndogo karibia na bajaji "cc 1.3 & cc 0.66, utumia mafuta kidogo sana kwa safari ndefu' (economy)
-Ina uimara wa kuweza kuvumilia misukosuko, nk.
NB: zenye cc 0.660 ndizo zenye bei ya juu kuliko zenye cc 1300
-ina uwezo wa kupita kwenye barabara za kila aina!
Ni nyepesi sana, kuliko magari mengine!
Sema zia bei bila milioni 20 hujapata nzuri.
Kama unahitaji magari ya bajeti ya milioni 4 hadi milioni 6 wasiliana nami. (0713039875)
Nataka kununua hii gari mkuu,Ina km 1150000 ni kwa mizunguko ya mjini tu.Bado kuna gari hapo kwa hizo km?