Mkuu hizi Spices unaweza kupata lakini weka majina ya Kiswahili watu wazielewe. Unaweza kuta zipo tu KariakooHABARI WANAJAMII HOPE NI WAZIMA NILIKUWA NAHITAJI MSAADA WA UPATIKANAJI WA SPICES ZIFUATAZO WHOLE DRY LONG CHILLIES,CORIANDERS,FENUGREEK...NA KAMA MKINIPA NA BEI YA KWA KG...NITASHUKURU KUNA SOKO KUBWA TUU NIMEPATA KAMA MTU PIA ANAINE TUNAWEZA TUKAWA PAMOJA MA E-MAIL NI ojonathan66@hotmail.com...asanteni
HABARI WANAJAMII HOPE NI WAZIMA NILIKUWA NAHITAJI MSAADA WA UPATIKANAJI WA SPICES ZIFUATAZO WHOLE DRY LONG CHILLIES,CORIANDERS,FENUGREEK...NA KAMA MKINIPA NA BEI YA KWA KG...NITASHUKURU KUNA SOKO KUBWA TUU NIMEPATA KAMA MTU PIA ANAINE TUNAWEZA TUKAWA PAMOJA MA E-MAIL NI ojonathan66@hotmail.com...asanteni
Ni-PM number yako, kuna mdau wangu mmoja ni muuzaji wa spices (Wholesale). Aina yoyote ya Spice nadhani anazo.
Bei hizi hapa
1. Chili - whole dry = Tsh 24,000
2.Corriander = Tsh 15,000
3. Fenugreek = Tsh 17,000
Tuma number then nitampa akutafute.
sante sana wadau nashukuru kwa mawazo yenu namba yangu ni +447809721371....nipe na yeye namba yake itakuwa rahisi kwa mimi kumcheki