Upatikanaji wa Tanzanite

Joined
May 8, 2014
Posts
73
Reaction score
10
Habari wakuu...

Ukiwa katikati ya jiji la Arusha utawakuta wamasai wengi wakiwa wanafanya biashara ya Tanzanite huku baadhi yao wakiwa na magari ya kifahari ikionesha dhahir kuwa biashara hiyo inalipa. Kwa waliowahi kufanya huwa zinapatikanaje machimboni Mererani na huuzwaje gramu1?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…