Upatikanaji wa usafiri kwenda Moshi from Dar. Jumamosi jioni

Nafsi huru

Senior Member
Joined
Sep 25, 2015
Posts
132
Reaction score
133
Habari wakuu naomba kuuliza hivi kunakuwa na gari za kwenda Moshi kutokwa Dar, Jumamosi jioni naweza pata.
 
Habari wakuu naomba kuuliza hivi kunakuwa na gari za kwenda Moshi kutokwa Dar, Jumamosi jioni naweza pata.
Nenda urafiki pale sheli kuna Coaster zipo, au mwenge kwenye sheli ya puma pale, nauli kuanzia elfu 20.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…