U ugalila JF-Expert Member Joined Jul 31, 2015 Posts 652 Reaction score 602 Mar 16, 2016 Thread starter #21 nzalendo said: Kwa walio masikini Click to expand... Matajiri wanawaza nini??
nzalendo JF-Expert Member Joined May 26, 2009 Posts 12,106 Reaction score 12,916 Mar 16, 2016 #22 ugalila said: Matajiri wanawaza nini?? Click to expand... Namna ya kunyonya watu.....Line of exploitation.
ugalila said: Matajiri wanawaza nini?? Click to expand... Namna ya kunyonya watu.....Line of exploitation.
Nje ya Mada JF-Expert Member Joined Sep 30, 2015 Posts 1,399 Reaction score 490 Mar 16, 2016 #23 Root said: Tatizo huwezi kujua fulani ni kahaba mchana maana wote wanaonekana makahaba na nguo zao zilizochanika Click to expand... Nakataa.. Kwani kuvaa nguo zilizochanika Ni ukahaba? Nakubali tu kuwa mchana nani verossa na nani taxi bubu..
Root said: Tatizo huwezi kujua fulani ni kahaba mchana maana wote wanaonekana makahaba na nguo zao zilizochanika Click to expand... Nakataa.. Kwani kuvaa nguo zilizochanika Ni ukahaba? Nakubali tu kuwa mchana nani verossa na nani taxi bubu..
Valentina JF-Expert Member Joined Oct 12, 2013 Posts 24,684 Reaction score 28,777 Mar 16, 2016 #24 Wonderful said: Hiyo buku5 ukimpa mzazi wako anunue nyama nusu si atakushukuru sana....! Click to expand... Sijui kama amekuelewa hata
Wonderful said: Hiyo buku5 ukimpa mzazi wako anunue nyama nusu si atakushukuru sana....! Click to expand... Sijui kama amekuelewa hata