Mustaphagentleman
JF-Expert Member
- Jun 22, 2016
- 3,953
- 3,022
Wapo sana na ninawajua..ila MASHARTi na VIGEZO kuzingatiwaMimi akijitokeza mwanamke bikra wa miaka 20 nakuendelea naoa tena akiwa Muislam natangaza ndoa kesho na yupo aje PM
Masharti yapiWapo sana na ninawajua..ila MASHARTi na VIGEZO kuzingatiwa
Soma hapo juuMasharti yapi
Acha kumdanga mwezio mmmh wakoWapo wa Kumwaga.....inamaana we hujawai piga bikra hata mmoja.......................?
Naweza kusubir wee kumbe kuna jamaa ashakutoa bikra siku nakuoa pako open kama milango ya BankWapo wengi tu! Wajitangaze ili iweje? Wanaume siku izi mkiambia sitaki sex kabla ya ndoa mnakuja juu!! Ooh mi siwezi kukaa na wewe kama kaka na dada, oooh kama hutaki basi tuachane! Mnawapiga vibuti bila kujua. Wengi washawastukia wanaume mnataka wachezea tu na kusepa.